Nitaicheki nione kama yaliyomo yamoHii hiko moto uchawi wake ni wa kawaida na ni watu wawili tu ndio wenye nguvu za kichawi the rest kuanzia starring na wengine hawana ni nzuri Mimi sipendi series za kifalme ila hii imenikosha hasa storyline yake na mkono wa humo ndani
Action thriller comedy love story or what?
Maeve kaigiza na Conrad kwenye single movie moja ya 2025, inaitwa βthe thursday murder clubβ, nilivyoona tu sura za Mobland nikaipakua chap, hiyo movie plot twist yake ilikuwa matata sana..!ππΎ
ndiyo natazama Gangs of London niko najilaumu hapa nilichelewa wapi..!Mobland na gentlemen ni series nzuri sana.
GANGS OF LONDON NA CONTINENTAL FROM JOHN WICK'S WORLD SIJUI WALIPOTELEA WAPI ni series ninazo zikubali sana. Zinatufundish maana halisi ya familia na namna ya kulinda maslahi ya familia kwa namna yoyote ile.
Wengi huitana familia wakikukitana kufinya ugali mezani. Ila likikufika jambo wana mute
Kibongo bongo familia za hivyo zipo ila ni chache sana.
nimetazama Dead End Job, storyline ilikuwa nzuri sana tu, ila wakorea wamezidisha utoto mpaka movie ikaboa, vile nilipenda that idea ya story had to watch it till the end..!Hii hiko moto uchawi wake ni wa kawaida na ni watu wawili tu ndio wenye nguvu za kichawi the rest kuanzia starring na wengine hawana ni nzuri Mimi sipendi series za kifalme ila hii imenikosha hasa storyline yake na mkono wa humo ndani
Ina uchoko mwingi hii series.Season 1 mliangalia ???
Season 2 inatoka kesho
Apollo ni kali mno, nilitoka muambia juzi mtu aliye recommend humu ndani, na yes, Lioness ni nzuri pia on itβs own way..!Ndugu zanguni hii Apollo has fallen episode yake ya kwanza tu imefanya niikubali sana labda waje kuzingua mbele.
1. Vincent kanisikitisha sana
2. Kuna mtu kala nyundo kama watu wanapasua kokoto vile π€π€
Nina swali kwenu nyie mnao isifia SPECIAL OPS LIONESS, je ina hata episode moja inayo fikia eoisode1 ya hii Apollo? Ili niishushe?
Tuwaambie mara ngapi kuwa Wakorea ni matapeli?nimetazama Dead End Job, storyline ilikuwa nzuri sana tu, ila wakorea wamezidisha utoto mpaka movie ikaboa, vile nilipenda that idea ya story had to watch it till the end..!
Lazima niichukueMaeve kaigiza na Conrad kwenye single movie moja ya 2025, inaitwa βthe thursday murder clubβ, nilivyoona tu sura za Mobland nikaipakua chap, hiyo movie plot twist yake ilikuwa matata sana..!ππΎ
Ila wana zaga la kijasusi sema la kitambo linaitwa IRIS nililikubaliTuwaambie mara ngapi kuwa Wakorea ni matapeli?
Hao saizi hata nilkikuta series ina rate ya 10 na ipo on trending wiki nzima, bado haiwezi kunishawishi kuiangalia.
Wakorea na Wahindi kiukweli haya mataifa hayajanishawishi kwa kiasi cha kutosha kuweza kuweka umakini wangu kwenye kazi zao.
Wakorea wana nafuu brother...Tuwaambie mara ngapi kuwa Wakorea ni matapeli?
Hao saizi hata nilkikuta series ina rate ya 10 na ipo on trending wiki nzima, bado haiwezi kunishawishi kuiangalia.
Wakorea na Wahindi kiukweli haya mataifa hayajanishawishi kwa kiasi cha kutosha kuweza kuweka umakini wangu kwenye kazi zao.
sentence ya kwanza umeisema kwa sauti ya baba..!ππTuwaambie mara ngapi kuwa Wakorea ni matapeli?
Hao saizi hata nilkikuta series ina rate ya 10 na ipo on trending wiki nzima, bado haiwezi kunishawishi kuiangalia.
Wakorea na Wahindi kiukweli haya mataifa hayajanishawishi kwa kiasi cha kutosha kuweza kuweka umakini wangu kwenye kazi zao.
Iris ni kweliIla wana zaga la kijasusi sema la kitambo linaitwa IRIS nililikubali
Kwenye movie wanayo
Train to busan
Na series nyingine ni ile ya one two one two movement π
Hapa kwenye picha
View attachment 3704811
Nilitamani waongeze season nyingine
Kuna Iris na ya mwishoni kuipenda ni innocent defendant.sentence ya kwanza umeisema kwa sauti ya baba..!ππ
wana kazi zao tu nyingine unakuta ni nzuri na serious mbona sometimes jamani, ila hawa watu wanaweza kukudhalilisha ukaonekana hauna maana..!ππΎ
Wazee wa mapigo ya mgandisho na mustachi.Wakorea wana nafuu brother...
Wahindi ni wehu asee, unakuta story nzuri ila namna ilivyoigizwa unachoka...
LIONESS ni nzuri kama unataka kuwajua "wasiojulikana" na kazi zaoNdugu zanguni hii Apollo has fallen episode yake ya kwanza tu imefanya niikubali sana labda waje kuzingua mbele.
1. Vincent kanisikitisha sana
2. Kuna mtu kala nyundo kama watu wanapasua kokoto vile π€π€
Nina swali kwenu nyie mnao isifia SPECIAL OPS LIONESS, je ina hata episode moja inayo fikia eoisode1 ya hii Apollo? Ili niishushe?
Mr Q, Vincent amekusikitisha na kipi tena?Ndugu zanguni hii Apollo has fallen episode yake ya kwanza tu imefanya niikubali sana labda waje kuzingua mbele.