Series (Special thread)

Ookay Upo gudi i miss uu😎😎

Ndani ya msimu wa pili nimefurahi ep ya 3 kuona neno tanzania pale kipande fulani hivi mwanzoni mwa series
🔥🔥🔥
Na nilivyoona Mozambique nikajiambia hawa huwa hawaioni Tanzania yetu ama ni lugha inatufelisha.!? nilivyokuja iona nikaskia raqha japo zilikuwa sekunde chache..!

yo missed too buddy..!
 
Naomba link mkuu
Hiyo ndio ile site ambayo inagoma kwenye devices nyingine hata kwenye simu yangu inakataa ni mpaka nitumie PC na sio PC yeyote.

Sijajua labda ma add-ons niliyoweka mle ndio yanayofanya hii site iendelee kudunda.

Jaribu nawewe hapa kama itakubali

flickystream

Ila ikigoma tumia website hii

Cine
 
Kumbe ina proxies hadi ya Mov, ujue mwanzo hii website ilikuwa inaenda kwa domain ya ru

Wakaja waka switch kwenda su, basi umefanya la maana sana kutuwekea alternative.

Sasa kwenye hiyo link yako nimeweza kuona option ya English.

Hatua ya kwanza ni ku click hiyo icon ya settings.

Itafunguka hivi ambayo hiyo Dcloud ndio default.

Utachagua option ya chini hapo imeandikwa settings
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…