Vimeshatoka?Vyuma hivyo
Vinatarajiwa ndani ya hii miezi 2Vimeshatoka?
Reezn ππ½ππ½ππ½ππ½Wape link na wadau
Yu bera wochi yua bakiHali ni mbaaaaya
Yesu anarudi Tena? Passion of Christ ilikuwa nzuriNovember
sawa kiongozπKwa nia nzuri tu rekebisha uandishi wako mkuu
Imefikia patamu mnoo
π₯ made in CanadaMchizi wakuitwa Calvin ni katika kisiwa hicho cha newfoundland huyu jamaa kipindi yupo mzee wake alikufa katika ajali yenye utata kidogo
Pia Jamaa alishuhudia kiumbe cha ajabu ndani ya habari hiyo
mchizi sasa kashakuwa ila bado anataka atafute kule kiumbe Na pia muda huo huo serikali inataka watu wa kisiwa hicho wahame kila familia itapewa Dola 140K wahame hapo
sasa kuna wazee hawataki kuhama hapo hata calvin naye hataki π
Na bado kile kiumbe ndani ya maji ebwana we π₯π₯π₯
Wanangu mimi ndo nipo Episode 2 leo nyerere day Tulia na hili Tambala
Hivi The Boroughs uliiangalia?View attachment 3690633
Mandy jauππ
Naam naijua hiyo si ile comedy horror?Hivi The Boroughs uliiangalia?
Rambo mbabe sana, mzee wa hojaView attachment 3691987
Season 4 is out. Episode ya kwanza ipo hewani
Hii series noma mnoRambo mbabe sana, mzee wa hoja
Wakuu hii brave mnatumiaje kwangu imefungiwa hata kwa vpn siipati