Series (Special thread)

Mchizi wakuitwa Calvin ni katika kisiwa hicho cha newfoundland huyu jamaa kipindi yupo mzee wake alikufa katika ajali yenye utata kidogo

Pia Jamaa alishuhudia kiumbe cha ajabu ndani ya habari hiyo

mchizi sasa kashakuwa ila bado anataka atafute kule kiumbe Na pia muda huo huo serikali inataka watu wa kisiwa hicho wahame kila familia itapewa Dola 140K wahame hapo

sasa kuna wazee hawataki kuhama hapo hata calvin naye hataki 😁

Na bado kile kiumbe ndani ya maji ebwana we πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Wanangu mimi ndo nipo Episode 2 leo nyerere day Tulia na hili Tambala
 
Kwa nia nzuri tu rekebisha uandishi wako mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…