Kudadadek single episode ya neagley ina 7GB. SIO KWAMBA SIWEZI KUDOWNLOAD ila hiyo space sina na muda wa kusubiri 7GB per a single episode sina
Kunawatu huwa wanashangaa kwanini napenda 720p ni kwa sababu series nzima unakuta ina less than 4GB so kuishusha hainichukui muda mrefu kusubiri tofauti na episode moja ikiwa na GB kuamzia 2 na kuendelea