Versions za Jason na Leighton zinaanza kuchanganya unashindwa kujua yupi ni yupi..Kipande cha 3 sio powa boxi limerudi upya baada ya kubomolewa
Icheki mkuu ni safi mno!Nimeshaangalia ep ya kwanza tu, ila toka s1 nilikuwa naikubali,
Zishatoka tatu sasa hiviIcheki mkuu ni safi mno!
Kazi ipo sio powa jason 2 nae hana maana ni msela mno jason 1 kaamua ajipige tatoo yeye na familia yake ili wajuane fresh 😄😁Versions za Jason na Leighton zinaanza kuchanganya unashindwa kujua yupi ni yupi..
Ila am niko excited sana kuona drama zitakazotokea kwenye new world ya Jason 1.
Huu mwaka tumebarikiwa sana
Mpaka tunasahau maudhui
Mtu unaanza kuvuta kumbukumbu season 1 ilikuajeMpaka tunasahau maudhui
Utaleta mrejesho ikiwa niruke nayo au niipotezee
Usijali Mkuu, ila mwenyewe niko haste haste sana sijawa na timing nzuri ya kutulia kucheki series.Utaleta mrejesho ikiwa niruke nayo au niipotezee