Kila nikisema niangalie series au muvi ndani ya dakika kumi tu usingizi huu hapa. Wakati zamani nilikua seson 1 naimaliza kwa siku...Daah the empire has fallen walah.🥺
Kweli kila kitu na wakati wake
Nimegundua muvi za kutisha Horror hua hazitishi ila sauti yake ndo inatutisha. Shenzi kabisa. Niko naagalia muvi ya smilie nimevaa Headphones kwenye giza nimejifungia. Ni kelele tu ndo zatutisha