Series (Special thread)

Niemisi series' za wazee wazee mbazo wapo tayari kufanya lolote kwa ajili ya kutengeneza pesa na kwa ajili ya familia. Wapo tayari kuua na kuficha ushahidi ili familia ibaki salama

Naombeni hata mbili tatu hivi
 
Season 2 inawezekana kitoka mwakani mwishoni
 
Attachments

  • FB_IMG_1782833656327.jpg
    192.7 KB · Views: 8
The Agency season 2 so far, so good ep 06 now
Hii scene ya exchange ya dada yake Viking na Owen jamaa wa CIA.
Alivyotolewa kwenye gari akiwa wamemfungasha kama mzigo, imenikumbusha wale jamaa wa Ukraine waliopelekwa mahakamani wakiwa kwenye vitanda vya hospitali wakajibu mashitaka yao ya ugaidi kwenye hii vita ya Russia na Ukraine
Hawa jamaa ni hatari sana
 
Niemisi series' za wazee wazee mbazo wapo tayari kufanya lolote kwa ajili ya kutengeneza pesa na kwa ajili ya familia. Wapo tayari kuua na kuficha ushahidi ili familia ibaki salama

Naombeni hata mbili tatu hivi
Breaking bad
Better Call Saul
Dexter
Ozark
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…