Series (Special thread)

Kuna series hii ya wakorea ni vile watu hawaitolei macho ila ni Kali ile mbaya inaitwa "Siren's kiss" yaani haina ngumi ila ina story nzuri yenye suspense genre ndani yake inayofanya uichukue attention yako kutokana na matukio yalivyopangiliwa ndani ya story na namna characters walivyouvaa uhusika
 
Movie nyingi zinazoshinda tuzo huwa sizielewi sijui huwa wanaangalia Nini zaidi
 
Sawa nimepokea ushauri wako
Series ya kizungu: Memory of a killer

Jamaa ana ugonjwa wa kusahau alafu ana mtoto mmoja wa kike mkubwa na ameolewa, Familia yake haijui mishe ya ukweli ya Mzee na namna anvyojiweka huwezi kumjua ila nyuma ya pazia mishe yake ni muuaji wa kukodiwa na katili ile mbaya tofauti na personality anayoonekana na jamii. Oya hii series ni Kali sana ina story na mkono hatari ni ya mwaka huu 2026
 
Wacha niipakue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…