Wabahatishaji wale hawana mbinu mpya. Walivyoona ya kwanza imeenda viral wakapata tamaa kulazimisha story.Nimeifuta hapa imekula gb 2 na nusu kama ningetumia bando ya kawaida ningeifungulia mashtaka mahakamani kisutu
Huyo jamaa anaangaliaga aina zote za movies/series na kwake ni fresh tu.Kivipi aisee mbona mbaya🤔🤔
Hata mimi niliposikia jina la series ni Gomorrah basi nikajua humo ndani Yas ndio ime dominate.Kibiblia ni ka mji kaloko haribiwa na Mungu kwa Sababu maasi yalizidi. Fikiria Kuna mtu wa Mungu alikuwepo kwenye miji hiyo na alitembelewa na wajumbe wa Mungu. Vijana wa mji huo wanataka wafukue mitaro hata pale rutu alipo taka kuwakabidhi Binti yao wao walikataa na kusisitiza wanataka wageni walikuja ili wawafukue
Bila WiFi????Kazi na muvi tunasonga mbeleView attachment 3516486
Voda jamani si wanasema hawana sera ya data cap???Nina mpango wa kuwakimbia voda wakiona nashusha sana movie wanapunguza speed Hawa ngedereView attachment 3516499
Naomba link yake ukiwa dubbedHata mimi niliposikia jina la series ni Gomorrah basi nikajua humo ndani Yas ndio ime dominate.
Lakini kumbe sio, nimeicheki nimeishia season 4 episode kama ya 4 hivi.
Maswala ya uchoko yapo sehemu chache na ni kuanzia season ya 3 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa.
Ni nzuri nadhani hata kwenye imbd inacheza na 8+ rate
Dubbed hata mimi nilitafuta sikufanikiwa kuipataNaomba link yake ukiwa dubbed
Aisee hapa UJINGA umezidi 😁😁😁😁
25 to 30GB KWA MWEZI ZINANITOSHA KITU KINACHO NIGHARIMU LESS THAN 30 THOUSANDSBila WiFi????
Usithubutu nduguVoda jamani si wanasema hawana sera ya data cap???
Aloo imekuaje tena mbona mnanichanganya?
Sa kama hivyo si bora Airtel wanaotoa 25Mbps.Usithubutu ndugu
Hizi za hivi Mimi nazipenda pia
Umempata doual audio?View attachment 3519035
Speed 🔥 ya kitalii gademit
Hapana nimeshindwa kujizuia nimeruka nayo hivyo hivyo mixer subtitle upwiru ulinikaba Koo nimeshindwa kuivumilia dubbedUmempata doual audio?
Goojarawakuu kwema
nipeni site ya kudownload series zenye good quality direct kutoka kwenye web ambayo haitumii torrent files na pia isiwe APK app