mwana itifaki
Senior Member
- Jan 30, 2020
- 112
- 383
Ndo maana simshangai Macron kukipelekea moto kile kibibi, unakuta chini k bado mbichi kabisa😇Watu wanazaa watoto wawili au mmoja tu ktk umri wao wa miaka 30 kushuka chinikisha wanafunga uzazi anazeeka Ktu kikiwa bado kinavutia kwa ndani na kinasindikiza nje mtulinga ukiwa unatoka
Patamu sana paleNdo maana simshangai Macron kukipelekea moto kile kibibi, unakuta chini k bado mbichi kabisa😇
Tena wadada wenye umri mkubwa wana pottasium tamu sanaK haina umri
Kuna mwanamke mmoja amenizidi kama 10 years hivi..kuna kipindi fulani alinidatisha nusu nimuoe aiseeKipindi nipo Finland kajiji cha Helsinki niliwahi kuwa na mahusiano na bibie alienizidi miaka 15 lakini nikaenjoy nae life
Hii series nilikuwa naionea uzito kuidownloae lakn baada ya kujua niSpeed ya kituaristi gademit View attachment 3517166
Exactly 💯Tena wadada wenye umri mkubwa wana pottasium tamu sana
Wale mliokua mnasubili season 2 mtafute chaka jingine#TheLastFrontier has been CANCELLED by #AppleTV after 1 season
Toba mtumeee aiseeWale mliokua mnasubili season 2 mtafute chaka jingine
Shida ilianzia pale ambapo ilikuwa ambapo walitupa EP 4 afu ulivyokuja mayor of Kingstown watu wakaanza kucheki mayor of Kingstown wakaachana na hii series#TheLastFrontier has been CANCELLED by #AppleTV after 1 season
Nyingine iliyokuja kupiga kichwani ni stranger things#TheLastFrontier has been CANCELLED by #AppleTV after 1 season
Watamaji WachacheReason?
Kama wameikanseli namimi acha niishie episode 6Watamaji Wachache
Maliza tu Ina kitu Inawezekana ni kiki tu hii inaweza ikarudi msimu mpyaKama wameikanseli namimi acha niishie episode 6
Reason ni story imeisha season 1 , wakisema walete season 2 watakua wanalazimisha story ila ukiangalia mzigo umeshaishaReason?