Series (Special thread)

Huu mzigo wenyewe, nimeuweka katika list ya top ten series zangu nzuri kama ifuatavyo

1. Vikings
2. Game of Thrones
3. Seal team
4. 68 Whiskey
5. The Americans
6. Billions
7. Startup
8. Fargo
9. Suits
10. BMF
Number 1&2 sitaki kuzisikia hasa hiyo namba 2. Ngoja nifuatilie trailer ya hizo kuanzia 4,6,7,10. The Americans ilinishinda.
 
Peaky blinders, day of the jackal na breaking bad ni series kali sana ila nilivyoziangalia siwezi kuzirudia kabisa, tofauti na hizo hapo juu.

Sasahivi narudia GOT na Seal team kwa mara ya tatuπŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza uliwezaje kuimaliza peaky blinders na unawezaje kurudia GOT wakati Mimi niliishia episode ya 3 nikaikacha
 
Guys,
Jana nimeangalia The Day of the Jackal kwa mara ya kwanza na kuimaliza yoooote, baada ya bro wangu kuisifia sana, kiukweli ilinikosha ila sasa nimebaki najiuliza pale Jackal alipoenda nyumbani kwa yule kaka, wakakulana nani alimla mwenzie!???πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ»
 
Unataka ujue ili iweje 😁😁
 
Hizi series sio taste yako, hapa nipo season 5 ya GOT nairudia πŸ˜‚πŸ˜‚, then jioni naishusha Mission impossible nasikia ipo hewaniπŸ˜‹
Nimeangalia upande wa quality naona wameandika IMAX WEB-DIL halafu Ina same as blue ray halafu Ina 3GB. Mimi hiyo format siitaki hapo Kuna kupigwa haitakuwa clear. nasubiri 1080p ambayo ni blue-ray.
 
angalia na peaky blinders, au zero zero zero
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…