Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,212
- 79,698
Me kwenye mickey 17 nilimkubali huyuNaomi ackie mzuri sana huyu mtoto soon naingia London nikamcheki
View attachment 3333865
Nime update bado 0-0Update hiyo browser yako
Mtoto kama asali huyo mzuri mnoMe kwenye mickey 17 nilimkubali huyuView attachment 3333874
Me siwezi kumfananisha na asali,😁😁😁 huwa situmii asali, nikila tumbo linakata unaweza kudhani nimekunywa sumu, kichefu chefu na diarrhoea inafata 😃😃Mtoto kama asali huyo mzuri mno
Mungu akipenda Nobody 2 nitaenda kuiangalia cinemaView attachment 3333579View attachment 3333580View attachment 3333581
View attachment 3333588 Cc dosho12 Carleen if cap fits Mr Q
Movie 4 ambazo unatakiwa mwaka huu uzitazame
Pole sana kaka una vidonda vya tumbo nini?Me siwezi kumfananisha na asali,😁😁😁 huwa situmii asali, nikila tumbo linakata unaweza kudhani nimekunywa sumu, kichefu chefu na diarrhoea inafata 😃😃
Nahisi ila vyakula vyingine kama maharage, vyakula vya pili pili, vyakula vya sukari nyingi, nyanya, natumia fresh tu wala havini sumbuiPole sana kaka una vidonda vya tumbo nini?
Mwanzoni kabla ya kuona nobody kwanza sikuwazaga kama bob ondekirk/saul goodman ataweza kuchapa mkono kama huu
Todd alimshoot huyo dogo wa bike ikapelekea mgogoro na jesse pinkman
Jesse alianza kuona ile biashara miyeyusho sana 😀 😃Todd alimshoot huyo dogo wa bike ikapelekea mgogoro na jesse pinkman
yaaani navyoingoja Ballerina, kama wakaka wanaotumaga nauli wanavyoisubiri text ya 'nimefika'..!!🙌
1.FromNimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless
7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
Sana mkuu yaani kuna muda jesse ubinadamu unamjaa sanaJesse alianza kuona ile biashara miyeyusho sana 😀 😃
Mbona kama imekaa kichuochuo. Yani kama haina mishemishe hivi
Mbona kama imekaa kichuochuo. Yani kama haina mishemishe hivi