Movie za statham zina action nzuri mno ila story ndo anazingua, kila movie story ile ile unakuta alikuwa mwanajeshi au assassin zamani akaamua kuacha na kufanya kazi za kawaida ila inatokea watu anaowapenda na kuwajari wanatekwa/kuuliwa anaamua kuacha kazi alikuwa anafanya na kwenda kuwasaidiaKuna muvi yoyote ya huyo jamaa imewahi kuzingua?
Huko sio kuzingua. Ni kujitofautisha.Movie za statham zina action nzuri mno ila story ndo anazingua, kila movie story ile ile unakuta alikuwa mwanajeshi au assassin zamani akaamua kuacha na kufanya kazi za kawaida ila inatokea watu anaowapenda na kuwajari wanatekwa/kuuliwa anaamua kuacha kazi alikuwa anafanya na kwenda kuwasaidia
Unampata mark wahlberg anamovie movie za action pia kama 1. Flight risk 2. The union 3. Family plan 4. Infinite hizi zote ni action ila story zinakuwa tofauti,Huko sio kuzingua. Ni kujitofautisha.
Umewahi fuatilia
johnwick?
Bourne series?
Pamoja na huyo statham wameamua kujitofautisha kwa namna hiyo. Na kila muvi ikitoka licha ya stori kama zinataka kufanana ila kinachotofautisha ni namna watu wanavyo pokea MKONG'OTO.
Hakika muvi zake hazichoshi kufuatilia. Kitakacho nitenganisha nae ni atakapo zeeka na kuanza kutoa muvi za low budget.
Viwnda vya filamu kabla huyu jamaa hayazeeka ni vyem wakampa series moja ya HITMAN iwe zawadi kwa ajili yetu. Tunao waigizaji wachache ambao wame maintain kwenye action ikiwemo huyo JASON
View attachment 3292759
Sawasawa. Ila ktk muvi mbovu ni hiyo flight risk. Tuachane na hayo. Mi nilidhan huyo jamaa ni matt damon kumbe ni watu wawili tofauti? Nilikuwa naona kama anaanza kuzingua huyu Matt.Unampata mark wahlberg anamovie movie za action pia kama 1. Flight risk 2. The union 3. Family plan 4. Infinite hizi zote ni action ila story zinakuwa tofauti,
hizo ulizosema john wick na bourne hizo ni title moja zenye muendelezo, bora na yeye angekuwa na the mechanic alafu ndio ikawa na muendelezo apo sawa
Kweli wanafananaSawasawa. Ila ktk muvi mbovu ni hiyo flight risk. Tuachane na hayo. Mi nilidhan huyo jamaa ni matt damon kumbe ni watu wawili tofauti? Nilikuwa naona kama anaanza kuzingua huyu Matt.
View attachment 3292792
View attachment 3292790
Ukiwaangalia utasema mtu mmoja
Hiyo movie ni mbaya kweliπππ apo kazingua ila movie zake nyingine ni nzuriIla ktk muvi mbovu ni hiyo flight risk.
Wamefanana sanaSawasawa. Ila ktk muvi mbovu ni hiyo flight risk. Tuachane na hayo. Mi nilidhan huyo jamaa ni matt damon kumbe ni watu wawili tofauti? Nilikuwa naona kama anaanza kuzingua huyu Matt.
View attachment 3292792
View attachment 3292790
Ukiwaangalia utasema mtu mmoja
Kuna chuma chake kimoja kinaitwa shooter niongeza hapo Kuna lone survivor pamoja na mkwaju unaitwa The Other GuysHiyo movie ni mbaya kweliπππ apo kazingua ila movie zake nyingine ni nzuri
Kumbe lone survivor ni huyu mwamba? AseeKuna chuma chake kimoja kinaitwa shooter niongeza hapo Kuna lone survivor pamoja na mkwaju unaitwa The Other Guys
Kwakweli kwa miaka yote hiyo mi najua shooter kaigiza matt damonKuna chuma chake kimoja kinaitwa shooter niongeza hapo Kuna lone survivor pamoja na mkwaju unaitwa The Other Guys
Na uncharted ni yake piaKwakweli kwa miaka yote hiyo mi najua shooter kaigiza matt damon
π³π³π³
Humo kunaguswa mkono aise
Na Kuna scene nyingi za kula tundaHumo kunaguswa mkono aise
Wanafanana sana wale jamaa πππKwakweli kwa miaka yote hiyo mi najua shooter kaigiza matt damon
π³π³π³
Ni yeye kakaKumbe lone survivor ni huyu mwamba? Asee
ah sam alikuwa anajitamba anapiga china town zima kisa anapigana na wahuni tu na maaskari ile siku limeandaliwa pambano na yule jamaa anayempenda mai ling ndo alijua kuna watu wako serious na ngumi ilibaki kidogo limvunje shingo isingekuwa polisi kuingilia π π πHumo kunaguswa mkono aise
Hii a working man ni HD?Ni yeye kaka
AsanteWelcome To Nkiri | Download free Hollywood Movies, Series and Dramas
Download Hollywood and Korean Movies, Series and Dramas for free at nkiri.com. Download all the greatest blockbuster Movies and Dramas at nkiri.com.nkiri.com
Tumia hii ndo rahisi zaidi
Welcome To Nkiri | Download free Hollywood Movies, Series and Dramas
Download Hollywood and Korean Movies, Series and Dramas for free at nkiri.com. Download all the greatest blockbuster Movies and Dramas at nkiri.com.nkiri.com
Tumia hii ndo rahisi zaidi