Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,040
- 95,579
icheki ni kali kinyama, kqa series za ulaya ni top1Yeah nmemrudisha
Hapana sijaiona iyo naisikia tu.
Niliiona trailer yake nikapenda..
you must be kidding me...!!π€Ipo online mda huu mwanangu πππ
Mimi nimeshindwa kuivumilia hapa namalizia EP ya 2 nikimaliza niende bar kupiga bia zangu nne nirudi zangu kulala ππNiliiona trailer yake nikapenda..
Naomba niisubirie kwanza ijae jae tafadhali, episode mbili tu..?? hiyo ni addiction..!!
Hii hapa mwanangu EP 8 za moto wallah πyou must be kidding me...!!π€
Yani mwaka huu wanapachika vitu tu hakuna kupeana break
Hakuna kupoa kaka π πYani mwaka huu wanapachika vitu tu hakuna kupeana break
Sawa kaka πNimemalizana na Peaky Blinders, sasa nipo na Snowfall huku nainyonya mdogomdogo The Rookie. Naomba mkuu Vincenzo Jr hii new season ya Power Raising Kanaan ikifika Pirates bay tushtuane
Hii kali sanaHumu Kuna fujo mno
View attachment 3270066
Ni mwezi wa toba huu Cassano...Mimi nimeshindwa kuivumilia hapa namalizia EP ya 2 nikimaliza niende bar kupiga bia zangu nne nirudi zangu kulala ππ
Hii ni one bhaana Cassano,Hii hapa mwanangu EP 8 za moto wallah π
Yeah ππ series Kali sana hiiHii ni one bhaana Cassano,
Kabisa π π πNi mwezi wa toba huu Cassano...
Nilikuambia nasubiri season 2, kumaanisha 1 tayari nilishapita nayo,Yeah ππ series Kali sana hii
Kabisa maana jana niliwaka mapema sana mwanangu πNilikuambia nasubiri season 2, kumaanisha 1 tayari nilishapita nayo,
Nakubaliana na wewe ni kali mno..
una hakika hukuwa ushatundika masanga Cassano..?
Inaitwa darkUna maanisha dark city the cleaner?
From halafu hapo wanatokea kunguru waleππ