Yap hiyo nimeicheki kidogo na ninayo naivutia kasiWesterners series zao huwa wana undermine uwezo wa warusi kimkakati ili kuleta propaganda kwamba wao ni bora zaidi na warusi hakuna kitu.
Ila ukitaka uhalisia angalia series moja inaitwa American humo ndo utaelewa Russia habari nyingine
Wamelipa kisasi maana kwenye the Americans wameonewa sanaWakuu hii THE AGENCY,
Mbona wameharibu series kwa ku-undermine uwezo wa warusi kwenye medani za kivita na ujasusi na issue flani hivi za mapenzi sana ni kama series flani hivi ya kichawa haina uhalisia unaokidhi.
Ingekua series nzuri sana kama atleast wange-balance mzani kidogo
sawa mkuu ntazingatia BB ni series ganiBCS inaingia kwenye series zangu bora za muda wote, one of the best 🔥. Kuna siku ilinifanya nikeshe.
Actually ungeanza na BB kisha ukamaliza na BCS. Ila kama hukuangalia kabisa BB basi ukimaliza BCS pita na BB, utakuja kuleta mrejesho.
The rest, enjoy na show!
Breaking badsawa mkuu ntazingatia BB ni series gani
Ha ha ha Mapenzi kaziniNapenda sana jamaa alivyokua anambandua huyu minister, nilikua nikitazama naenda kurudia kama vile kwa wifi yenu🤕
😀😃Ha ha ha Mapenzi kazini
Naona wazee wa anime hawajatusahau, hii list ina moja ya List kali sana za Anime.
Kumbe uliliona hili.Wakuu hii THE AGENCY,
Mbona wameharibu series kwa ku-undermine uwezo wa warusi kwenye medani za kivita na ujasusi na issue flani hivi za mapenzi sana ni kama series flani hivi ya kichawa haina uhalisia unaokidhi.
Ingekua series nzuri sana kama atleast wange-balance mzani kidogo
Sana mkuu anime muhimu mnoNaona wazee wa anime hawajatusahau, hii list ina moja ya List kali sana za Anime.
Respect
anh hii tayari mkuuBreaking bad
Kati ya hizo tatu...ipi kali kabisaBado nina series tatu hapa nafatilia
1. A spy among friends
2. Out there
3. Wrong side of the tracks
Sasa naona hii Night agent niipe hadi Jumapili ndo niitazame ila najua tu mkishaanza kuihadithia tu humu lazima nifosi kuishusha ili twende sawa🤕
Hahahahha aise nina mzigo mzito sana wa kufatilia mpaka sasa hv sijamaliza The agency wala american primeval sjaanzaWakuu hii Night Agent yamoto sana, nafanya kuipuliza huku nainywa mdogomdogo nisije nikapaliwa.....hawa CIA watu wabaya sana😇
Zote kalii hizoKati ya hizo tatu...ipi kali kabisa
Kali sana hiiGANGS OF LONDON SEASON 3
inatoka mwezi march
Chukua namba 2 au 3. Hiyo namba moja ni story zaidi naamini kama sio taste yako hutoipendaKati ya hizo tatu...ipi kali kabisa
the recruit 2 ishatoka..??🤭