Hii series ina mambo mengi ya kimaisha. Haiishii tu kwenye swala la kutoroka gerezani bali usaliti, kujiyoa muhanga, family matters, na mambo mengi. Hii jackal ina issue chache ikiwa ni pamoja na political issues, assassinations na mambo y kifamilia kwa uchache
Kweli kabisa.
Wakati ule naangalia ilikuwa ni mwendo wa kusubiria CD itoke, mara kuna episode zinamic, nyingine zinasratch, mara kukimbizana na vipindi vya class.
Ndio maana nimeamua niirudie kuangalia tena kwa umakini.