Yah, nilimuona. Sio kama niliacha hapo hapo, nilienda nayo kidogo nikaona haina mvuto kama ilivyo mwanzo.Ungeimalizia mkuu, humo kuna moja ya watoto wake anaitwa Ivar the boneless ni hatari huyo😇
Na inaisha tarehe 15 mwezi huu hapa lazima nilipie aiseeHio wifi inakoma kubaabake
Kabisa anazingua sana ndio maana yule mwanetu zungu alikula utamumtoto mkali...mumewe ndo hajielewi😂
The day of jackalIpi hii
Hii waliimaliza vibaya sanaMwamba alivyokufa tu, nikawa naona watoto wake wanafanya masihala mengi. Na hapo hapo nikaipiga chini.
View attachment 3173018
Kesho inaweza ikavuja mtandaoni hiyoNimemaliza Episode 9 now nasubiri tarehe 11 iachiwe ya 10
Ni series nzuri sana ina deserve kuwa rated beyond 8/10
Ivuje kutoka wapi?Kesho inaweza ikavuja mtandaoni hiyo
Yeah wanaweza kuweka uttorent ndio kesho sema kwa yaliyo nikuta naogopa sana kwenda pirates baysIvuje kutoka wapi?
Hii sio jumba la dhahabu. Wenzetu wapo strictly sana hizo loopholes zinaweza kupatikana siku wanayoifanyia premier
Hapo ndio unakuta vibopa vime record kwa simu kupitia Tv halafu wakakaja kuitupa torrents.
nimeiona ipo kwenye nominees za tuzo za Golden GlobeThe day of jackal
Wewe utakuwa uli download setup ambayo huijui halafu ukai runYeah wanaweza kuweka uttorent ndio kesho sema kwa yaliyo nikuta naogopa sana kwenda pirates bays
Niidownload fifa 14 na file la pilau afu nilivyo Fanya miyeyusho kugusa zile link ile nifungue picha ndipo majanga yaka anzaWewe utakuwa uli download setup ambayo huijui halafu ukai run
Huwezi kupigwa na ransomware kwa kudownload videos kwenye torrents.
Watabeba sana ila shogun nae atapiga chini wote pamoja na the penguinnimeiona ipo kwenye nominees za tuzo za Golden Globe
Kweli hapo shogun lazima aondoke nayo au squid game ipoWatabeba sana ila shogun nae atapiga chini wote pamoja na the penguin
Na mayor of Kingston lazima hiyoKweli hapo shogun lazima aondoke nayo au squid game ipo
SiloNipeni series kali external bado inadai
Mkuu hii Black Doves ni tamu kweli nisije kuchoma MB za bureSilo
Lioness
Black doves
Murder in a Small Town
Cross
The Helicopter Heist
The Madness
Say nothing
The agency
The day of jackal
Tulsa
Ni nzuri sana ila wameweka upinde kama kawaida yaoMkuu hii Black Doves ni tamu kweli nisije kuchoma MB za bure