Wale wazee wa mpaka zikamilike hapo mbele mtakutana na foleni ya series kibao nyie jifanyeni VIP now tupo na cross nyie mpaka muanze kuzitafuta zile za mpaka ziishe mtakuta mnafoleni ya series now tupo na cross EP zipo 8 na Kuna hii the extended sneak peak of earth abides adios π