Series (Special thread)

Ishu ya gamondi imeniumiza sana roho ndugu yangu πŸ˜ƒ πŸ˜€
 
🐒
Ntu na dada yake πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ naona nae Tabitha anakumbuka mambo y zamani hapo fromvile inamaana Itakuwa aliwahi kukaa hapo na naona humu kwenye from wameanza kutuletea mambo ya hallucinations na multiverse mixer time travel naona mzigo soon tunaenda nao kama series Moja hivi inaitwa dark πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
We jamaa Kila series unasifia demu mkali. Kwako Ubora wa series unazi-rate kwa mademu wakali. Sasa Hivi tutachakata kwanza ushauri unaotoa wa series za kuangalia πŸ˜‚
Ila asilimia ya series nilizosema zina mademu zote ni kalii sana mfano kwenye shogun Kuna Mariko sama kwenye lioness Kuna Cruz kwenye dark matter Kuna Vanessa kwenye pressumed innocent Kuna yule muhabeshi Barbara sabich
 
Apple TV mpaka sasa
presumed innocent
dark matter
Silo
Sugar zote zinapiga sana pesa Kila EP inakula watazamaji wa kutosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…