Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,501
- 14,783
Quality vipi maana kuna sehemu nakula WI-FI ya bure sasahivi sidownload vitu low quality π πKwa wale wazee wa kupenda kudownload movie au series kwa haraka tafuteni hii web
Mkvking.com Cc Mr Q
View attachment 3135825
Quality ya kutosha kaka Kuna 720 p hadi 1080 pQuality vipi maana kuna sehemu nakula WI-FI ya bure sasahivi sidownload vitu low quality π π
Hapo andaaa popukoni kaka πππππ
Hii kitu nilikesha nayo nikamaliza siku Moja hiyo hiyo series kalii sana hiiFuries ni nzuri kuliko citadel diana. Episode ya kwanza tu tayari nimeikubali
View attachment 3135961
Naiweka kwenye watch list kesho naidownloadFuries ni nzuri kuliko citadel diana. Episode ya kwanza tu tayari nimeikubali
View attachment 3135961
Achana na huo uchafuWakuu nimekosa series ya kueleweka nataka niruke na gomorrah nishaurini!
Nipeni series za kueleweka nichagueAchana na huo uchafu
Hamna kazi hapo jombii
Hebu mcheki vinsenzo a.k.a mafiaNipeni series za kueleweka nichague
Furies.Nipeni series za kueleweka nichague
Kama hujawai kuiona chukua hiyo Crime,action, thrillerWakuu nimekosa series ya kueleweka nataka niruke na gomorrah nishaurini!
Naunga mkono hoja hii inamfaa sana aongeze na warrior hapo mixer Wu assassin na the night manager niongeza pita na the 100Kama hujawai kuiona chukua hiyo Crime,action, thriller
Tupo kwenye harakati ya kudai season 3Kama hujawai kuiona chukua hiyo Crime,action, thriller
Naunga mkono hoja sema yule mwana baada ya kupiga yule demu yeye kawa mzembe sanaTupo kwenye harakati ya kudai season 3