Series (Special thread)

Maupinde nimefast forward. Aisee watu wanauwawa huko ni mauaji ya kimbari serikali iingilie kati la sivyo series itaisha na watu.
Hadi Mimi nikiona series Ina upinde napeleka mbele hadi upite hii ilinkikuta kwenye game of thrones na the boys series ni kalii ila upinde aisee

Gangs of London kalii sana Mimi nipo season 2 EP ya 7 hapa
 
Hii gangs of london nadhan ina season 1 & 2 tu
 
Kuna wapenzi WA sci-fi kuna hizi series
1.far all mankind
2.three body problems
3.quantum leap
4.labrae
5.invasion
6.the 100
7.debris
Nb:ukiwa na msingi wa physics izo movie unaenjoy sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…