Series (Special thread)

Chief msaada naomba link ya kudownload series ya travelers 2016


 
Unatumia website gani kudownload series? Nmejaribu mobiletvshows.com haikubali, nkiri.com haina movie nyingi. Wewe unatumia zipi?

Na

 
Nimetoka kuimalizia Under the bridge, kali sana hii cha zaidi imabase kwenye true story!

Mwenye anajua series yenye mfanano na huu, nshaangalia Clickbait, The Stranger, the wilderness, presumed innocent ukinipa zinazofanana na hizi itakuwa safi sana!
 
Inventing anna
Unbelievable
Bloodline
Mindhunter
Goliath
Your honor
Mayor of Kingston
 
Nipo naangalia hii series ya Dark asee kuielewa inahitaji utulie kwelikweli yaani humu ndani kuna time travelling za kufa mtu hadi naimani director mwenyewe alichanganyikiwa.

Kwenye history mashuleni tulifundishwa kitu kinaitwa Family tree yaani huyu kamzaa huyu na huyu akamzaa na yule akazaliwa na fulani n.k, sasa humu kwenye hii series jaribu kupanga iyo kitu uone vile mambo yakuendeaπŸ˜…

NB:btw huo ni mtazamo wangu sijui nyie wadau wa series kuna alielewa kirahisi

Ina jumla ya season 3
1=10
2=8
3=8
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…