Ngoma Kali sanaMzee mmoja anakula janga lililochumwa na mwanae ππ baada ya mwanae kumwua kijana mwingine anayetokea kwenye familia ya waovu. NB NIMEONA TRAILER TU SIJUI KAMA NIMEPATIA MAELEZO
Kaka hili lipo kama game ni movie ya hovyo achana nayo hiiπππ€£Vincenzo Jr naomba uangalie hii trailer kisha unambie kama zipo muvi zinazo endana nizitafute haraka
View: https://youtu.be/0T92chW2jRo?si=7-HiXCZXZP1M5F11
Namaanisha kuna muvi zipo kama hivyo? Natamani nizijueKaka hili lipo kama game ni movie ya hovyo achana nayo hiiπππ€£
Ndio zipo kibao kaka pitia hapa kuzionaNamaanisha kuna muvi zipo kama hivyo? Natamani nizijue
Series nzuri sana hii hata comedy yake humu wameigiza vizuriView attachment 3022839
SUCCESSION
Daaaah, nimetoka kumalizia episode ya mwisho ya Succession Season 1. Sijui nilikuwa wapi siku zote!? Succession ni bonge moja la series aisee. Roy family, hii familia imekaa kiajabu sana. Kendall anataka kumvua madaraka mzee wake huku akisumbuliwa na drug addiction, anawaza nini!?
Ngoja nishushe season 2 nione Kendall anakuja vipi, atakuwa mpole na kuendelea kufanya kazi chini ya Logan? Ataenda Rehab? Greg anarudi vipi? Vipi ndoa ya Shiv na Tom, itadumu?
Sahihi, Roman na Tom wanachekesha sana.Series nzuri sana hii hata comedy yake humu wameigiza vizuri
Lugha tu ndo ilinichosha humo
Polee Mkuu dubbed zipo NetflixLugha tu ndo ilinichosha humo
thank you dear Cassano, now you know me well..!!π
NetnaijaWapi naweza kudownoad House of dragrons season 2 episode ya 1 na ya 2?
Team Aegon+Aemond+Criston here!Series kalii sana hii