Series (Special thread)

Wale wote wote tunaomkubali mwamba Brayan Cranston almaarufu kama Walter white wa Breaking Bad aisee hakikisha unatazama series hii Bomba kabisa
Hakika hiki ni kipaji halisi apa duniani huyu ni mwamba Nampa nyota 5
YOur Honor
View attachment 3017009
Inahusiana na nini?Ni vizuri ukagusia japo kidogo ili tujue ni kali? Maana tunatofautiana taste
 
Inahusiana na nini?Ni vizuri ukagusia japo kidogo ili tujue ni kali? Maana tunatofautiana taste
Michael desiato ni Jaji,ana mtoto wake kiume aitwaye Adam...
Balaa linaanza pale Adam anapomgonga Kwa bahati mbaya kijana aliekuwa na pikipiki barabarani aitwaye Rocco Baxter
Baada ya Jimmy kumgonga Rocco akaogopa na kukimbia ikumbukwe kuwa Rocco ni mtoto wa familia yenye nguvu mjini new Orleans pia inajihusisha na uhalifu na magendo mbalimbali
Michael anatumia kila njia ili kijana wake asidhuruke wala kutambuliwa kuwa alihusika na kifo Cha kijana wa Jimmy Baxter
 
Story imekaa vizuri sana nitaitafuta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…