Series (Special thread)

Wahuni wameyavagaa huku wazee 😁

Walimteka binti ambae ni mtoto wa gangster mmoja ili wamuachie waka demand $50M 😶

Bila kujua, huyo binti waliyemteka kumbe ni vampire 😄

Kilichofuata wahuni walianza kucheza Kwasa! Kwasa 😁 cc Mr Q
 


Chagua Moja mtu wangu
 
Asante mkuu kwa story fupi nzuri uliotuwekea nimeipenda hivi ndio inabidi na wengine wafanya sio tu katuambia movie fulani wakati hatujui story yake ikoje maana watu taste wametofautiana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…