Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,253
- 79,836
nenda kwa pembeni ingia upande wa seriesHaiji ona View attachment 2976722
nenda kwa pembeni ingia upande wa series
tumia torrent ileee kaka vip ishaanza kuingia
Episode1 tayari naendelea na zinginetumia torrent ileee kaka vip ishaanza kuingia
Mzigo wenyewe au?Nimeinasa ngoja niisubiriView attachment 2976724
Episode1 naona kama nzuri sijui mwendelezoMzigo wenyewe au?
Una jisikiaje baada ya kumuona t bag well kwenye episode ya 3Episode1 naona kama nzuri sijui mwendelezo
Oh kumbe yumo? Leo naendelea na epispdes nyingine. Ningependa pia kukutana na fernando sucre ππ na hilo lijamaa kwenye picha lilikuwa linawasumbua sana wenzake kwenye misheniUna jisikiaje baada ya kumuona t bag well kwenye episode ya 3
Hiki chuma sikukimalizaTuishi humu, break out kings isubiri kidogo.
View attachment 2977416
Yumo episode 3, Ina Anza ana pigishwa mswaki, Jamaa aka mwekea maji mengi.Oh kumbe yumo? Leo naendelea na epispdes nyingine. Ningependa pia kukutana na fernando sucre ππ na hilo lijamaa kwenye picha lilikuwa linawasumbua sana wenzake kwenye misheni
View attachment 2977440
huyo Jamaa ana jua Sana, nili mkubali zaidi kwenye 24 hoursHiki chuma sikukimaliza
Season 1 Kali, 2 Ina poa, 3 ndo Ika Anza kutoa character bila SABABU, mwisho ikawa canceledHiki chuma sikukimaliza
Safi sanaaa πππYumo episode 3, Ina Anza ana pigishwa mswaki, Jamaa aka mwekea maji mengi.
Si lika taka kunsulubishaπ
hapo fox river, SI una pakumbuka??Safi sanaaa πππ
Napakumbuka sana palimtesa bwana jela msaidizi ππhapo fox river, SI una pakumbuka??
ila Baadae Ali kufa kishujaaz kule wali enda kulipua njia.Napakumbuka sana palimtesa bwana jela msaidizi ππ
Kile kipande kilinisikitisha sana ila kabla ya hapo bagwel alinichekesha sana ku pretend yeye ndie mmiliki wa ofisi alipopokea wageni halafu vishindo vya nyundo kule chini anashindwa afanyeje kiti cha moto πila Baadae Ali kufa kishujaaz kule wali enda kulipua njia.
Sema Ali piga speech Fulani ya moto, Ali tumia historia ya kutapeli na ujambazi, kushawishi wateja watoe hela π π.Kile kipande kilinisikitisha sana ila kabla ya hapo bagwel alinichekesha sana ku pretend yeye ndie mmiliki wa ofisi alipopokea wageni halafu vishindo vya nyundo kule chini anashindwa afanyeje kiti cha moto π