Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
How I Met Your MotherNimeangalia mara 3 ni kiboko ma nerd huwa wana vituko.ipi nyingine kali ya kucheka kama hii
μ λ§ κ³ λ§μμζ¬’θΏε εΌ
μ’μμμ λ§ κ³ λ§μμ
Hixo sjawahi angalia ngoja nchungulieHow I Met Your Mother
Young Sheldon
Ahh nshaangalia mwaka jana .how i met nliangalia enzi cd.nzuri huna ingineHow I Met Your Mother
Young Sheldon
Fuller HouseAhh nshaangalia mwaka jana .how i met nliangalia enzi cd.nzuri huna ingine
Hapa napiga moja mojaFuller House
Mom
Chuck
Upload
beef
Barry
God's Favorite Idiot
Red Oaks
The Good Place
Russian Doll
Zote ni kalii sana jiandae kucheka hadi ulie hiyo Barry ndo jau sana full comedy π€£ππHapa napiga moja moja
Utakuwa nerd ww wanakuwaga washkaji zangu sana ila kwa kuwa nko middle mind najifunza mengi kwao .mmoja yuko kwa rais rwanda anaumizwa na wanawake dailyFuller House
Mom
Chuck
Upload
beef
Barry
God's Favorite Idiot
Red Oaks
The Good Place
Russian Doll
Naanxa na barryZote ni kalii sana jiandae kucheka hadi ulie hiyo Barry ndo jau sana full comedy π€£ππ
Utakuwa nerd ww wanakuwaga washkaji zangu sana ila kwa kuwa nko middle mind najifunza mengi kwao .mmoja yuko kwa rais rwanda anaumizwa na wanawake daily
Barry is one of the best series right now.Naanxa na barry
Ikitoka barry netfix haipoZote ni kalii sana jiandae kucheka hadi ulie hiyo Barry ndo jau sana full comedy π€£ππ
NetfixView attachment 2865102
Kaka hii series ya Barry naicheki hapa ep 1 season 3 nipo nacheka tu hapa π€£ππ
No niliichukua pirate baysNetfix
Ni ya HBO hii kakaIkitoka barry netfix haipo
Tuwe wakweli. Hii series mtunzi wake amejua kuchambua issue ya mapenzi in a deepest way. Huku una enjoy heist, wakati huo huo una pigwa na kitu kizito kwenye swala la mapenzi.
Naunga mkono hoja hii series kalii sanaTuwe wakweli. Hii series mtunzi wake amejua kuchambua issue ya mapenzi in a deepest way. Huku una enjoy heist, wakati huo huo una pigwa na kitu kizito kwenye swala la mapenzi.
Imagine dogo alidatishwa na jasho la jamaa ikabidi akae na taulo chini ya mto.
Mzee wa watu akaunganisha dots akajua mkewe alikuwa anachepuka na kama hukumbuki haya maneno mawili
trivial love basi ulikuwa unaicheki hiyo series uliwa vyombo au na usingizi π
Halafu the boss mwenyewe hapo kwenye picha kayatumia mapenzi kufanikisha mission, kuharibu mahusiano ya mtu, na kumtia ndanizee wa auction
Scars