Series (Special thread)

Hii couple ya Marie na Jordan sijaikubali kabisaaa, nawaona hawana chemistry hata kidogo.... i hope mbele mbele watawaachanisha,
Ila Sam na Emma wako vyede natamani wasiachane, wamepitia mengi kwenye maisha yao.
Kabisa ndo maana season2 inaandaliwa
 
Hivi kuna muvi inasisimua kama SAW X 2023 recently?
Nimeishia pale wanarushiana utumbo wa mwenzao ili utumike kama kamba nitaendelea nayo baadae ngoja kwanza nipumzike.
😄😄😄
Ukifanya uhuni kuna wahuni zaidi yako. Ipo poa.
Expendables 4 ipo hewani. Kuna movies gani zingine kali za 2023?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…