Series (Special thread)

Jamani naomba kuuliza hizi movie munaangalia saa ngapi mana mimi nikiRudi job nikianggalia nusu saa tu nalala!!! Yani single movie inabidi niangalie siku 2/ nusu nusu ase inanikera sana
 
Jamani naomba kuuliza hizi movie munaangalia saa ngapi mana mimi nikiRudi job nikianggalia nusu saa tu nalala!!! Yani single movie inabidi niangalie siku 2/ nusu nusu ase inanikera sana
Polee sana uwe unacheki jumamosi na jumapili
 
Unataka muvi iliyo sheheni mkono wa kutosha? Ungana nami kusubiria
the beekeeper
Angalia hapa trela yake
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…