DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,931
- 2,141
Jumong not Chumong.Chumong
Jumong not Chumong.Chumong
"If loving you is wrong" ila hii haina action sana ila story yake ni nzuri mno. Imefika season ya 7 sa iv.
"Power" hii sijajua kama imeendelea ila ni bonge la seriea
"Narcos" hii ni nzuri ila fupi.
scandal huyu dada kerry washington anajisikia sana, niliwahi onana nae zanzibar akiwa na mumewe yule mnigeria mmarekani, nilitumwa kazini kwenda mpokea alikuwa anaenda kisiwa cha mnemba, daah full kujisikia mume wala ingawa nae kwao ni star vile vile,SCANDAL
QUEEN OF THE SOUTH
Inaonesha itakuwa tam babu eenh asante Ngoja niistake
Naomba iyo link mkuuOkey Asante bwan Southern, mapenzi sanaaaa sipendaji series ya hivo sababu Mie Ni muhanga wa kuumuzwa so Nop. Power nimeicheck mpaka ALIPOPIGWA RISASI NA KUFA MTOTO WA KIKE WA ST. PATRICK a.k.a Ghost . Kwa link niko nayo imeishia hapo sijui kama inaendelea Mkuu