Mkuu hebu ingia ISIDINGO The need.... ni real life na haiishi
hivi hii inaanza kuwa nzuri kuanzia season ya ngapi maana nimesha jaribu mara kadhaa ila imenishindaItafute Homeland... mimi ni mvivu wa kuangalia series ila hii niliiangalia mpaka mwisho
Ndio series bora kwa sasa,anza nayo hiyo hlf utakuja kuniambia hapaSorry bab hii Ni series au Ni muvi ?!
kuanzia ya 3&4 ni nzuri sana...hivi hii inaanza kuwa nzuri kuanzia season ya ngapi maana nimesha jaribu mara kadhaa ila imenishinda
hiyo ni action series ila ina wadada warembo aichoshi kutazamaMichapo ipo na mihegejo? Au Ni malove love tuu
Hivi hiyo Queen of the south iliendelea sehemu ya pili!?SCANDAL
QUEEN OF THE SOUTH
Eeeh na sehemu ya tatu inatoka mwezi huu nadhani.Hivi hiyo Queen of the south iliendelea sehemu ya pili!?
HahahahaaAsante kwa taarifa Mzigua wa marangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1488]
Aseee kumbe,bhas nimepitwa coz me nilidhan had Leo haijatoka muendelezo wakeEeeh na sehemu ya tatu inatoka mwezi huu nadhani.
Ipo na imeisha muda mrefu sana yani.Aseee kumbe,bhas nimepitwa coz me nilidhan had Leo haijatoka muendelezo wake
Aseeee lazima weekend hii niipakue hyoIpo na imeisha muda mrefu sana yani.