Mimi ni teja wa isidingo..sema u tube hawaweki episode zote mkuuMkuu hebu ingia ISIDINGO The need.... ni real life na haiishi
Sorry bab hii Ni series au Ni muvi ?!
Viking mpango sana,Narcos
Breaking bad
Vikings
Yah iko Poa its all about ISIS (Islamic States)Nipe detail Bonny ikovizuri sana eenh
if loving u is wrong[emoji106]"If loving you is wrong" ila hii haina action sana ila story yake ni nzuri mno. Imefika season ya 7 sa iv.
"Power" hii sijajua kama imeendelea ila ni bonge la seriea
"Narcos" hii ni nzuri ila fupi.
"If loving you is wrong" ila hii haina action sana ila story yake ni nzuri mno. Imefika season ya 7 sa iv.
"Power" hii sijajua kama imeendelea ila ni bonge la seriea
"Narcos" hii ni nzuri ila fupi.
Banshee mpe onyo,Blindspot walianza vizuri S01 na S02 lakini baada ya hapo naona wanapuyanga tu.
Tafuta Banshee na Strike Back, hutajutia muda wako.
Season 5 haikuwa na mvuto kiviiile,Itafute Homeland... mimi ni mvivu wa kuangalia series ila hii niliiangalia mpaka mwisho