Serial killer in Dar!

Serial killer in Dar!

Source ya haya maneno iko wapi? Ningependa sana kujuwa kama ni kweli. Sasa mpaka mtu unakuja kuua wanawake wa watu kisa unasingizia ukimwi si balaa hii? Inawezekana ana ukimwi ila anaua kwa sababu ni hobby yake, maana wengi wanaoua binadamu wanakuwa kama wana laana fulani hivi na akishaua mtu mmoja inakuwa ndiyo hobby tena, ataua mpaka akamatwe.

Nimekutana naye face to face segerea last two weeks...trust me ....
 
is this serious? Yani from nowhere anauwa..? Munguwangu!! Au hao anaowauwa kuna ki2 nyuma ya pazia.maana tanzania hii mt unamwona ako busy na ki2 flani kumbe ni zugu.hapa mtaani mwetu kuna mwendesha bodaboda kumbe ni jambazi.aliuwawa mchana kweupe na kukutwa na bastola

inawezekana, kwani magari mangapi kayapita hadi kwahuyo mtu?!!
 
Huyo jamaa kwa nyakati hizi za siasa tulizonazo, akifahamika, anaweza akawa dili, kwan anauwezo wa kuua hata kwenye foleni, na asikamatwe.
Ajitokeze tu, anaweza akawa tajiri iv iv tu.
 
Nchi haishi matukio, hili litakua ni poteza boya, watu msahau mambo ya msingi..
 
Tanzania kama marekani dar kama Brooklyn kudadek.... Hizo ni swagg! Lengo lake ni nini?
 
Habari wana jf...kuna tetesi nimezisikia kuwa kuna serial killer ambaye ni light skinned hapa dar anatembea na pikipiki...huwa hataki mabishano na dereva yeyote na ikitokea mmebishana yeye hukufyatulia bastora..kuna ujumbe una sambaa kuwa keshaua madereva wawili mmoja magomeni karibu na mkwajuni..mwingine bagamoyo road..je ni kweli tujuzane ndugu zanguni la sivyo tutauawa wengi maana madereva bodaboda wengi wao n vichaa na kuzinguana kupo
 
Sending As Received! Please be careful out t
here!

There appears to be a serial killer in Dar. He just did it again. Shot a driver in the neck and the unfortunate driver died instantly at kinondoni, the road between mkwajuni and magomeni. He did the same thing the day before yesterday at bagamoyo road. He is said to be light skinned and drives a motorbike. Please be careful as you drive since this man will purposely cause an accident and then pulls out a gun and kills the driver of vehicle. Kindly Send this to the ones you care for...
Lakini kwa kuwa unaowatahadharisha ni watanzania ulikuwa vema ukatumia kiswahili.
 
nina waswas na hyu ndgu yang LWAKA...kama sio yeye anaye rtbu huu mpango...
 
Siyo CHADEMA tu bali hata wewe uliyejibu haya. Usishangae watu usio wajuwa kuja kwako leo asubuhi kukutakia habari.

Mkuu mie hii nchi nshaifahamu vizuri sana hasa awamu hii ya JK, wakija I'll dance wit em, michezo ya kitoto sana hii, what matters is who takes the bullet first, either way the game ends there...!! wha ha ha ha
 
Lakini kwa kuwa unaowatahadharisha ni watanzania ulikuwa vema ukatumia kiswahili.
Kama kuna mtu ambae atakua hajaelewa anaeza pata mtu kumsaidia kufafanua.binafsi siwezi kutafsiri kwa kiswahili!
Thanks for your concerns anyways!
 
.....Simply a HOAX....

Sending As Received! Please be careful out there!

Back
Top Bottom