Serial killer in Dar!

Serial killer in Dar!

du, sasa kujilinda wenyewe si itakuwa kazi zaidi!? japo snipers walisumbua kipindi fulani US lakini nadhani wenzetu walikuwa na nia ya dhati na hapa huwezi jua ni nani anawatuma kama si hao hao wanaopaswa kutulinda. Tuna shida kweli

Mkuu nchi hii kila mtu angekuwa na silaha ya moto kama Merikani si ingekuwa balaa!! Wenzetu Merikani swala kama hili la mpanda pikipiki lingepatiwa ufumbuzi fasta kwa kuwa sura ya muuaji watu waliokuwa wamependa daladala walitambua, Polisi wange watafuta wachoraji bingwa wakatoa mchoro wa SURA ya muuaji na kutangaza kwenye luninga, si ajabu vyombo vyetu za dola wazo hilo HAWANA!! Inawabidi vile vile kuongeza Patrol kwenye eneo husika na kuweka mitego ya kila aina.

Swala la a serial killer sio la kuchukulia kimzaa mzaa uwezi kujua nani atakuwa next victim, actually huyu anaonekana ni maniac i.e ana matatizo ya akili au anabwia unga.
 
Sending As Received! Please be careful out there!

There appears to be a serial killer in Dar. He just did it again. Shot a driver in the neck and the unfortunate driver died instantly at kinondoni, the road between mkwajuni and magomeni. He did the same thing the day before yesterday at bagamoyo road. He is said to be light skinned and drives a motorbike. Please be careful as you drive since this man will purposely cause an accident and then pulls out a gun and kills the driver of vehicle. Kindly Send this to the ones you care for...

Kuna yule aliyekua anaua wanawake kwenye nyumba za kulala wageni,alikua mwemba na anavaa kofia,hivi aliishia wapi?
 
Hiyo ni ishara ya ombwe la uongozi; yaani a failed state kama ilivyokuwa Somalia na sisi tunaelekea huko huko!!! CCM imeshindwa kuongoza hence we have extremeist elemements za wakina Ponda, Uamsho to fill that void.Haya mauaji ya viongozi wa dini na juzi juzi tu kumfuata nyumbani kwake Askofu Mokiwa kwa nia ya kutaka kumdhuru yote ni ishara ya udhaifu wa uongozi!! Sasa hawa wanaoua wakiwa na piki piki halafu hawakamatwi most likely ni state sponsored ili iwe chambo cha kuwakamata wapinzani wa magamba. !!!
 
Mwambieni Mwigulu aandae mkanda wa huyo mtu ili akamatwe haraka.
Watanzania,usalama wetu u mikononi mwetu,Police na usalama wa taifa wako busy na CHADEMA+M4C.
 
Sending As Received! Please be careful out there!

There appears to be a serial killer in Dar. He just did it again. Shot a driver in the neck and the unfortunate driver died instantly at kinondoni, the road between mkwajuni and magomeni. He did the same thing the day before yesterday at bagamoyo road. He is said to be light skinned and drives a motorbike. Please be careful as you drive since this man will purposely cause an accident and then pulls out a gun and kills the driver of vehicle. Kindly Send this to the ones you care for...
Eeeh
 
Back
Top Bottom