Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
kwa stail hii nikikutana na pikipiki ni kukimbia kabla hayajanikuta!!Lisa Rina, halafu sio Dar tu. kwa kumbu kumbu zangu kulingana na habari na matukio yaliyopita. Kule Zanzibar, yule padri Mushi kama sikosei aliuawa na mtu ama watu waliokuwa na pikipiki. Kisha baada ya muda tena kuna Padri jijini Mwanza akawa anafuatiliwa na mtu aliyekuwa na pikipiki kila sehemu aliyokwenda, ilikuwa bahati yake akaponea chupuchupu. sasa tena huko dar huyu jamaa wa pikipiki kaonekana, Lazima atakuwa anatekeleza mkakati maalumu.