Serengeti Lite inavyoitesa TBL

Mi Serengeti lite,Kilimanjaro,Heineken,castle lite zote hizo siwezi kunywa zenyewe,huwa nachanganya na K vant kubwa au Gordons,nikinywa yenyewe naona Kama nakunywa maji tu!
 
Wakuu mawazo yenu wote tumeyaona.
Mimi ni staff TBL tena muda mrefu sana.
Huo utafiti wenu
wa baa 2 za mjini unawapotosha.
Tbl bia zinauzika sana yaani mpaka tunashindwa kulala order ni nyingi sana na kila siku tunapewa bonus ya mauzo mazuri.
Kuna calculation za mauzo wakuu sisi sio wajinga tumuone serengeti anatusumbua kizembe hivyo.
Tunaangalia market share na sio baa share.
 
Wewe ni lini kampuni za juisi au coca cola zimewahi kukupa tuzo za unywaji???
Na kwa taarifa yako tunezika watu wengi kama wewe waliokuwa wanasema eti pombe zinaua..
 
Kabia kwa wanawake hako yaani nikikuta Me anakunywa hiyo bia nashangaa sana
Naweza vipiga 40 na bado hakuna stimu sana sana kujaza tumbo
 
Kanda ya ziwa habari nyingine kule mzee baba machozi ya simba ndio kinywaji halisi bia tunasingiziwa tu ndio maana tukaletewa balimi at least inapanda kidogo
 
Mimi binafsi siwezi kuiweka hiyo kitu kwenye kundi la bia! Labda togwa!
 
mkuu tatizo jina hilo la BALIMI nalo sio kabisa halivutiii limekaa kikulimakulima
 
Serengeti lite ya baridi na kitimoto ni tamu haswaa ila nkishapiga Serengeti mbili au tatu naita Pombe sasa either gordon au Kvnat.
 
Bia zenye chupa ya kijani NAHISI NI KAMA NOVIDA TUU

HUWA SILEWAGI WALA NINI SIWEZ KABISA POTEZA HELA YANGU KUNUNUA HIZO BIA ZA KIKE

KITU MAVYUPA YA BROWN,BALIMI,BINGWAA, CASTE LAGER,SAFAR NK

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…