Serengeti Lite inavyoitesa TBL

Tukienda bar ukiagiza ako kadude nakukimbia.hakana tofauti na maji ya dasani.no stimu kabisa
 
Ni kweli wanakimbiza sana hasa maeneo ya mijini kinauzika sana kuliko nje ya miji.
Mie bia yangu castle lager tena nipate mchupa ule mrefu virikuu hapana...
 
Nimekunywa bia ngumu karibia zote, mara nyingi huwa zinanipunguzia uwezo wa kufanya kazi siku ya pili.

Ila hako ka kirikuu naamka niko timamu asilimia mia.
 
Nimekunywa bia ngumu karibia zote, mara nyingi huwa zinanipunguzia uwezo wa kufanya kazi siku ya pili.

Ila hako ka kirikuu naamka niko timamu asilimia mia.
Alcohl yake sio 1.4 kwel?
 
Kwa tulio simiyu hzo lite hatuzijui..weka safari mbuyu na castle lager za kutosha..fukia nyama na maji ya jambo ya kutosha ...kesho unaamka saaafi kbsa
 
Nimekunywa bia ngumu karibia zote, mara nyingi huwa zinanipunguzia uwezo wa kufanya kazi siku ya pili.

Ila hako ka kirikuu naamka niko timamu asilimia mia.
Kumbe na ww ni mwanachama njoo hapa Facebook nkununulie hata tatu
 
Kanauzwa bei gani
 
Ni bia moja ambayo haina viwango kabisaaa Sema watu wanafuata mkumbo na bei Poa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…