wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,951
Pia nimeona Kiba kapigiwa advert ya kufa mtu, kuna clip wameonyesha clouds ikionyesha Kiba anavalishwa kufia ya ufalme na maandishi The returning of the King.
Mnuka mikojo yule saizi yake ni Kina Crazy GK tu.
Kweli. Diamond atabaki kuwa juu tu.. Fiesta ya kipuuzi sana hii, Fiesta hovyo kabisa. Ngojea nidai hela yangu niliyotoa ,
Hawana roho nyeusi kama yako.Wana Shoo Love tu
haya sasaaaa!! na hivyo hip hop sielewagi cjui km taambulia kitu leo
Na mipicha ya ndege ya nini?
Kweli. Diamond atabaki kuwa juu tu.. Fiesta ya kipuuzi sana hii, Fiesta hovyo kabisa. Ngojea nidai hela yangu niliyotoa ,
Pamoja ni kupewa promo lakini Diamond ndio kiboko yao, Kawakomoa Clouds leo
Ali kiba kapewa "Special package" ya promo more than anyone today.. Kawekwa kwenye level nzuri, ashindwe mwenyewe sasaa...
Mbna kina linah hawajapanda...
Wivu gani, ili kutusaidia , weka bayani wivu unaingiaje jina la Ali kiba kutajwa baada ya yeye kuingia, mbona mashabiki wa timu pinzani hutaja jina la messi kila ronaldo anapokuwa na mpira kama njia ya kumtoa mchezoni huo ndo wivu?
Kifupi ni kwamba huna hoja ya msingi,