pia kaonyesha ubaguzi wa hali ya juu,kusema the return of king ndo nini?sasa hapo ndo wanasambaza upendo gani,au ni mashindanoRuge anaua mziki hii promo ya waziwazi kwa Kiba,huwezi kumtengenezea mtu beef ili atoke,bado namheshim Diamond.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Lina ana sura ya kizeee ivi ana umri gani.....au ndio second sitti
Usiku mwema wapendwa. Mtanihadithia kesho.
Ova
Kiba mshenzi kakodi wajinga wenzie a kkoo kumzomea diamond bt am sure domo atawaziba midomo tuu hata wamrushie makopo,domo atamzid hata TI shangweeeee
kiba aliwai kutukodi tukamzomee diamond maisha club alitupa buku 30 na bia tano kila kichwa
Umeona anavyokatika hhhha hadi rahaaaa
Kama kishungi
Mi ningekua lina ningeacha na kutupa mik watu hata hawamshangaliii hhhhhhhhaaaaaaaaaaaa
Hao wachezaji wote anawalipa au Ruge ndio kazi yakee
Kamkodi nani... alikiba anapendwa na watu kwa nyimbo zake nzuri, skendo za ajabu hana,majivuno na ushenzi wa ajabu ajabu hana ...
Na nyimbo zao za tune ya south Africa kweli safari ndefu
pia kaonyesha ubaguzi wa hali ya juu,kusema the return of king ndo nini?sasa hapo ndo wanasambaza upendo gani,au ni mashindano
kaka anakiuno huyu blaaaah.mimi hoiii
Mi ningekua lina ningeacha na kutupa mik watu hata hawamshangaliii hhhhhhhhaaaaaaaaaaaa
Hao wachezaji wote anawalipa au Ruge ndio kazi yakee
27 October this year anafikisha miaka 19 kaka namfahamu huyu ni dada wa rafiki yangu
pia kaonyesha ubaguzi wa hali ya juu,kusema the return of king ndo nini?sasa hapo ndo wanasambaza upendo gani,au ni mashindano