Serengeti fiesta 2014 special thread

Haha kiba mpaka sasa kwenye kuperfom kafunikwa.....

Dangote akija atajuta
 
kiba mshenziiiii!! hahaaaaa nimependa sn alivyoanza " ucgombane na watoto, et hili jiji ni lako"
 
kiba hamna kitu,eti im back na ma playback,ziro kabisa
 
Regardless what,akimaliza huyu kina naenda kulala. Nimeenjoy show ya Fa na take, inatosha
Tusapoti muziki mzuri hakuna haja ya bifu.
Unaweza kuwapenda kina na chibu as I do
 
Hii nchi nimegundua hata kama una billioni benki we piga kimya ukileta nyodo tu utachukiwa na kila mtu.Hicho ndicho kinachoponza DIAMOND.Watanzania hawapendi Mbwembwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…