Serengeti fiesta 2014 special thread

Ni wazi kwamba DOMO kachokwa..,
raia wanamtaka KIBA.
 
Hapa ungepigwa mdundo wa mikasi wa ngwair ingekua mzukaa zaidi
 
Ally k je ana mashabikiiiii weeeeee
Sasa kiba jaman alie kabisa kuona watu wanamkubali lakini ye anajivutaaa

Team kiba wanamshabikia mpuz wao.kinafiki....na wengi.ni wale wasiopenda mafanikio ya diamond..take it or leav it
 
Bado hujakubaliiiiiii????

Watu mnakosea huu sio mpambano wa kiba V Diamond ila ni wa Diamond V others..hao wanaoshangilia wote si mashabiki wa ally kiba bali ni mjumuiko wa mashabiki wa wote wanaomchukia Diamond
 
Kiba kakodi zile shangwe za Kariakoo,hajawajua vizuri hawa,kuna siku hasim wake[Diamond] walimgeuka walimrushia Makopo nadhani ilikuwa Maisha sijui Bills if not mistaken.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
duu huku ni shida aisee watu wanamtaka Ally k,ni alikiba alikiba watu hawaelewi hawana shida na T.I wao ni wanamtaka Ally K mwenye mji wake.

utatuambia nini sie watoto wa uswazi kuzaliwa ocean road enzi hizooooo!!!!!!
 
Pfunk ni nyokooo,mmeisikia hiyo midundo
Hadi miss mtevu karushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…