matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,958
Kuna utata bado kwenye ujio wa T.I
Kwa sasa jamaa wanahaha kutafuta wasanii kwa kuokotezaokoteza ambao hawakuwa kwenye list incase hali itakuwa mbaya mpaka dakika za mwisho.
Lakini kitanuka tu hii vita mnayoanzisha nyie jamaa, msifikiri kila mtu ni mjinga kama wa huko nyuma.