Serena Williams baada ya "Championship Point", Wimbledon 2016

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,766
19,298
Cm7tQwIWYAAg74H.jpg:large
 
Wazungu wanatukana sana leo, wanachanganya ushindi wa Serena Williams na #Blacklivesmatter na Obama na kila kitu. Kuna mmoja kule Facebook akatoa theory ya kizushi kwamba Serena anatumia dawa za kuongeza nguvu. Nimpa makavu kaniblock.
 
Hilo nalo neno.

Ila unajua nini? Kuna mafanikio mengine ya jumla kwa jamii. Usishangae akaunti yake ikamsaidia mhitaji wa Mbagala.

Rejea hivi karibuni Paul Pogba na Mesut Ozil...walivochangia matibabu ya mtoto wa Kitanzania. Ni mfano tu....

Juzi tu Serena Williams kamaliza kujenga shule kwa ajili ya wasichana Kenya na nyingine Jamaica. Hujui kesho atafanya nini.
 
Ninamzimikia sana huyu mdada kwa mambo mengi.,"hongera zake malkia mweusi".
 
Wazungu wanatukana sana leo, wanachanganya ushindi wa Serena Williams na #Blacklivesmatter na Obama na kila kitu. Kuna mmoja kule Facebook akatoa theory ya kizushi kwamba Serena anatumia dawa za kuongeza nguvu. Nimpa makavu kaniblock.
Hiyo mbona imekuwepo sana tangu zamani tu alipoanza kuwanyoosha wazungu...
Yaani kabla hata hajavuka 20 years old,
Kuhusu tuhuma za kutumia madawa hiyo vita alisha shinda, nadhani ndio mcheza tennis anaeongoza kwa kufanyiwa drug test mara nyingi zaidi.

Wamebaki na blaah blaah zao na kumwekea chuki, hadi wacheza tenis wenzie wanadiriki kusema akacheze na wanaume wenzio wakimchukulia yeye sio mwanamke kwa vipigo anavyo wapa.

#teamserena_the_champion_is_here_again
 
Wazungu wanatukana sana leo, wanachanganya ushindi wa Serena Williams na #Blacklivesmatter na Obama na kila kitu. Kuna mmoja kule Facebook akatoa theory ya kizushi kwamba Serena anatumia dawa za kuongeza nguvu. Nimpa makavu kaniblock.
Yaani wakishinda William sisters hata coverage ya ushindi ni ndogo, ninafikiria hawa wadada wangekua wazungu ninadhani hata watoto darasani wangefundishwa historia ya William sisters.
 
Back
Top Bottom