uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 12,018
- 28,579
Ndio tatizo linaloikuta jamii yetu kushindwa kupeana support kwa kudhani mafanikio ya mtu ni yake tu na sio ya jamii wakati mtu huyoJuzi tu Serena Williams kamaliza kujenga shule kwa ajili ya wasichana Kenya na nyingine Jamaica. Hujui kesho atafanya nini.
Atajenga nyumba na kulala chumba kimoja.
Atajenga hotel kubwa
Atajenga kumbi za starehe
Atanunua nguo nk ambayo ni kwa faida ya jamii