Serena Williams apata mchumba

Serena Williams apata mchumba

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,878
Yule mwanamichezo maarufu wa Marekani Serena Williams amepata nchumba.

Hiii ni habari mbaya kwa wale marafiki zangu wa Tanzania walioko huko ambao wengi walitarajia hako kanafasi.

Hatahivyo yupo aliepo kwaajili yenu msikate tamaa.

--------------
Serena Williams achumbiwa na mwanzilishi mwenza wa mtandao wa Reddit
x30xp-serena-master768.jpg.pagespeed.ic.UVxZXnMXMz.jpg

 
haha Mpwa kwahilii simfichii anakaziipevuu... Hasawakati anapiz kunawenginewanabana miguu akimwagasasa nakaguuchake anawezeishia wakavunja engine yajamaa kabisa


Ndio umeandika nini?
 
Back
Top Bottom