Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 44,389
- 130,353
Nipo tayari kuwalipia hela ya Lodge. Mchukue kijana ukampelekee moto.Muache ajilete!
Nipo tayari kuwalipia hela ya Lodge. Mchukue kijana ukampelekee moto.Muache ajilete!
Absolutely 🥰Seran,my imagination tell,you are so beautiful and lovely lady,can I sing to you a little song, sugar sugar sugar 🌹
Limeisha hilo!🫡Nipo tayari kuwalipia hela ya Lodge. Mchukue kijana ukampelekee moto.
Nashukuru sana kwa kukubali jamani kesho namuoa SERAN rasmi sitaki mchango wa mtu najiweza karibuni woteSawa nimekubali, tangaza!
Mada za kipuuzi tuuKwanin aweke humo?
utoto mwingi !Mada za kipuuzi tuu
Kumekucha tena, hivi hamna tution siku hizi? Watoto wa kisasa hawana ubize kbs
Sasa kama mtu ni loser na mpuuzi, kwanini asianzishe mada za kipuuzi?Mada za kipuuzi tuu
Mada za kipuuzi tuu
Tatizo n njia wanazozitumiaMbaga hutaki dada yako aolewe? 😊
Tatizo n njia wanazozitumia
Simple tuu, jenga mazoea na mtu kupitia comments, then mkizoeana Huko itakuwa rahisi kukufungulia pm na mtaongea private kuliko kuja kuanzisha mada za kipuuzi kama hizi.Wape mbinu sana mkuu. 😊
Abiria chunga mzigo wako.Ukikubali tu kesho natangaza ndoa na wewe
Simple tuu, jenga mazoea na mtu kupitia comments, then mkizoeana Huko itakuwa rahisi kukufungulia pm na mtaongea private kuliko kuja kuanzisha mada za kipuuzi kama hizi.
Sikia wewe🫴🏾 Nipe kabisa changu ntembee mambo za kuanzishiana uzi bila faida sitaki!Nashukuru sana kwa kukubali jamani kesho namuoa SERAN rasmi sitaki mchango wa mtu najiweza karibuni wote
Anaoaje mtu hamjui! Au yuko tayari kwa lolote 😁Mbaga hutaki dada yako aolewe? 😊