mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,164
- 74,966
Muache ajipatie "mumama" mrembo. Wa kiume huyo!Acha kumjaza upimbi!
Muache ajipatie "mumama" mrembo. Wa kiume huyo!Acha kumjaza upimbi!
Aje na pesa tu sichekeshiMuache ajipatie "mumama" mrembo. Wa kiume huyo!
Umekuja tena sitaki hizo latent chaos zako mkuu hapa
You're proving that typing is easier than thinkingUmekuja tena sitaki hizo latent chaos zako mkuu hapa
Andikeni majina mnaotaka pilaushule hizi,, mi nikajua pete ya seran 😅😅
Tangu umekuwa mke mdogo hatupumui..vipi umeolewa na kobazii?Kama unaish kwa shemeji yako ww ni mke mdogo
Hapana mkuu natania tuYou're proving that typing is easier than thinking
Toka hapo kwa shemej, unashindana kunenepa makebo na dadaako kwa vyakula vya bureTangu umekuwa mke mdogo hatupumui..vipi umeolewa na kobazii?
halafu kupon uziwekee laminationAndikeni majina mnaotaka pilau
Pamoja ✊ kiongozi, kazi iendelee.Hapana mkuu natania tu
Hiyo uhakika mi ndo tajiri wa Katorohalafu kupon uziwekee lamination
Hahahaha na wewe nenda kwa dada akoToka hapo kwa shemej, unashindana kunenepa makebo na dadaako kwa vyakula vya bure
Na wewe nendaToka hapo kwa shemej, unashindana kunenepa makebo na dadaako kwa vyakula vya bure
Kwamba unaenda na helicopiter sendoff tu! wewe ni hatarHiyo uhakika mi ndo tajiri wa Katoro
Ukiombwa mchezo utoe maana unakula na kulala bure kwa mwanaume mwenzioHahahaha na wewe nenda kwa dada ako
Na wewe nenda
Hii vita siiweziHahahaha na wewe nenda kwa dada ako
Na wewe nenda
unayo sasampa? maana ndugu yangu hataki maneno matupu😊Andikeni majina mnaotaka pilau