Sera ya viwanda ikitimia 2020 nitahamia CCM

Sera ya viwanda ikitimia 2020 nitahamia CCM

Hawakufanya makosa ila uwepo wa magoli ya mikono! ndo makosa yaliyofanyika chini ya wanyongaji wa demokrasia!
Sasa kama haitawezekana 2020 watakuja na Sera ipi? Kwamba nipeni nafasi nyingine nikamilishe kazi mliyonituma au vipi?
 
Kwa mwendo ninaouona, kupitia maaamuzi ninayoyaona yakifanywa na utawala wangu wa Serikali ya sasa sina budi kusema ahadi ya Tanzania ya viwanda ikitimia kabla ya 2020 nitavaa kofia,viatu,T-Shirt,koti na socks zenye nembo ya CCM.Sitahitaji maswali mengi kwasababu nitakuja nimetimiza nilichoahidi leo.

Tuombeane uzima kufikia muda huo maana kuna baadhi ambao hawataweza kuiona Tanzania ya viwanda.Nisipoiona Tanzania ya viwanda nitaamini kua mabadiliko chini ya CCM ni ndoto labda upinzani ambao haujawahi kutawala.Wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu 2020 CCM wajiandae kwa moyo mweupe kukabidhi Dola maana watakua wameshindwa kazi.
kusubiri tanzania ya viwanda ni sawa na kusubiri kurudi kwa yesu.
 
Miaka mitano hii ni ya kuikarabati serikali, hata wakianza kujenga viwanda kama kawaida vitabomolewa katikati ya ujenzi, make hata wanachokijenga hawakijui, ukiuliza wanapoipeleka nchi hawana jibu.
 
Mkuu, miezi 7 imekatika serikali inapangwa.

Mawaziri-RCs-DC-RAS-DAS-DED.
 
Yaani pamoja na push up zote zile halafu viwanda vikosekane kweli! Acheni utani jamani
 
Soma argument yake uielewe kwanza ndio ubwabwaje. Wewe eleza unadhani kwa nini sera ya viwanda itawezekana kabla ya mwaka huo, hiyo ndio namna bora ya kujadiliana.
Hivi tatizo lako ni elimu au kwa sababu unetoka kabila lenye asili ya ubishi tuu?
Huyo motochini ana Shida ya common sense mwachane coz hapo hajasemwa mtu na jamaa anazungumzia viwanda huyu kaleta mambo yake ya kuzimu
 
Hapa mtazamo wa elimu nao utazamwe upya,maana wanaoenda kufanya kazi kwenye hivyo viwanda ni watu.Watu wasome hasa ufundi.Wanafunzi waanze kufundishwa stadi za ufundi wakiwa ngazi za chini za elimu.
Elimu ipi sasa mkuu ?
 
Hapa mtazamo wa elimu nao utazamwe upya,maana wanaoenda kufanya kazi kwenye hivyo viwanda ni watu.Watu wasome hasa ufundi.Wanafunzi waanze kufundishwa stadi za ufundi wakiwa ngazi za chini za elimu.

Ni viwanda vya nini kwanza?
 
Back
Top Bottom