Sera ya kilimo kwa Serikali hii ni ipi?

Sera ya kilimo kwa Serikali hii ni ipi?

Wazo lako la serikali kuwa na supermarket au maduka ni haliwezekani, litaua vibaya mno sekta binafsi yaani regulator wewe halafu uingie tena sokoni kushindina na sector binafsi magoli yote si utafunga wewe.

Ngoja baadae nitatafuta data nione hio sector binafsi inaingiza ngapi kwenye agriculture,kama hairidhishi(tena hairidhishi,by the look of it),inabidi tuiachie serikali....
 
Hello JF,

Ningependa kujua sera ya kilimo ya serikali hii ya Magufuli kama ipo?

Leo sijui mtalionaje hili wazo..au kama lishawahi kufanywa before?!

..ila ningependekeza serikali kuwa na Supermarkets zake🙄🙄
[emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wanunue na kuuza huko.

Iwe cheap compared na supermarket private.

Itawavuta wazalendo!

Kiasi fulani cha product yoyote inayouzwa na hizi supermarket, kiende kwenye Research

Kuwe na special Research commitee.

Kwa ajili ya ku identify masoko BOTH ndani ya nchi na nje.

Vipi???Nimezingua?
Shamba dogo kabisa Lianzie hekta moja (ekari 2.5)

Kuwe na mpangilio wa mashamba kwa kuzingatia utafiti.

Kuwe na Kamati za ufuatiliaji kwa ngazi ya kitongoji, kijiji, kata na tarafa.. na taarifa zinazokusanywa zitumike na Kamati za utafiti za wilaya kupata masoko na kutoa misaada inakohitajika.

Familia zote za vijijini lazima zilime kujikimu. Na kuwe na mechanism kwa wanaoishi mijini kupata tax relief wakizalisha kupitia kilimo.

Watu wote wanaolima Kati ya hekta moja na mbili(ekari 5) wasikatwe Kodi yoyote. Na kuwe na Kodi ndogo kwa wanaolima Kati ya hekta 10-20(sababu za kibiashara)

Kuwe na Kodi kubwa kwa wanaomiliki mashamba au Ardhi kubwa na hawaifanyii kazi. Kama mashirika makubwa na Taasisi za kidini ili kuondoa displacement isiyokuwa ya lazima
 
Kuna kitu kinaitwa mrengo/social-economic organization serikali nyingi hapa duniani kwa sasa zinaendesha nchi kwa kutumia mlengo wa kati/mixed economy yaani zimechukua mazuri ya ujamaa na ubepari na zikaacha mabaya yake, sasabasi fact zinaonyesha serikali zilizojihusisha na biashara ya bidhaa zinazoshikika zilifanya vibaya mno sokoni na hili wazo lako la serikali kuwa na maduka ni moja ya mabaya ya Sera za ujamaa/socialism
 
Thanks, nimejifunza kitu...
 
Shamba dogo kabisa Lianzie hekta moja (ekari 2.5)

Kuwe na mpangilio wa mashamba kwa kuzingatia utafiti.

Kuwe na Kamati za ufuatiliaji kwa ngazi ya kitongoji, kijiji, kata na tarafa.. na taarifa zinazokusanywa zitumike na Kamati za utafiti za wilaya kupata masoko na kutoa misaada inakohitajika.

Familia zote za vijijini lazima zilime kujikimu. Na kuwe na mechanism kwa wanaoishi mijini kupata tax relief wakizalisha kupitia kilimo.

Watu wote wanaolima Kati ya hekta moja na mbili(ekari 5) wasikatwe Kodi yoyote. Na kuwe na Kodi ndogo kwa wanaolima Kati ya hekta 10-20(sababu za kibiashara)

Kuwe na Kodi kubwa kwa wanaomiliki mashamba au Ardhi kubwa na hawaifanyii kazi. Kama mashirika makubwa na Taasisi za kidini ili kuondoa displacement isiyokuwa ya lazima

Asante mkuu, I hope mkuu wetu anasoma hapa....🥰🥰🥰
 
Nani wa kutangaza Sera hizo wakati redio zote Kuanzia asubuhi mpaka jioni wanazungumzia bongo fleva tu! Jiulize kwanini??????
Kwanini Sahv watu wengi wanaaminishwa kufatilia mambo hayo tu! Wenye akili mtakuwa mmenielewa

Ova
 
Hello JF,

Ningependa kujua sera ya kilimo ya serikali hii ya Magufuli kama ipo?

Leo sijui mtalionaje hili wazo..au kama lishawahi kufanywa before?!

..ila ningependekeza serikali kuwa na Supermarkets zake🙄🙄
[emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wanunue na kuuza huko.

Iwe cheap compared na supermarket private.

Itawavuta wazalendo!

Kiasi fulani cha product yoyote inayouzwa na hizi supermarket, kiende kwenye Research

Kuwe na special Research commitee.

Kwa ajili ya ku identify masoko BOTH ndani ya nchi na nje.

Vipi???Nimezingua?
Good idea
 
Back
Top Bottom